HabariMaarufu zaidiMilele FmSwahili

Al shabaab wauwa wanajeshi 30 wa AU Somali

Waasi wa Al shabaab wamethibitisha kuwauwa wanajeshi zaidi ya 30 wa muungano wa afrika waliokuwa katika kambi ya Leego nchini Somalia. Waasi hao waliokuwa wameabiri gari lililosheheni silaha hatari wanaarifiwa kukabiliana kwa muda mrefu na wanajeshi hao wa AU.
Huko Mombasa afisa mmoja wa polisi anauguza majeraha baada ya kuibuka makabiliano ya risasi baina ya polisi na wezi waliokuwa wamevamia benki ya gulf mjini Mombasa.Hata hivyo polisi walitibua njama ya uwizi na sasa washukiwa wanasakwa.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker