Burudani

Mustapha Ni Shoga Asema Nyota Ndogo.

Bifu kati ya msanii Nyota Ndogo msanii kutoka mjini Mombasa na Colonel Mstapha imezidi kunoga baada ya msanii Nyota Ndogo kumtaja Mstapha mtu asiye jielewa na ni shoga wa kawaida.
Nyota Ndogo alipinga madai ya Mustapha kuwa anahisia za kimapenzi naye kwani msanii huyo kutoka jijini Nairobi hana lolote nikujigamba tu, na hata bling bling anazovaa huwa nizakuazima ili ajitanue kwa mafansi wake.
“Mustapha hana mvuto na wala hana kitu cha kunifanya nimpende na nikikutana na Mustapha ana kwa ana kitu naeza mfanyia nikumpiga na kiatu”.Alisema Nyota.
Nyota aliyasema hayo wakati akihojiwa na Double C, Chris na Chigulu kwenye drive show nambari moja kanda ya pwani MwakeMwake ndani ya Pilipili fm

Show More

Related Articles